Kama kawaida karibu tena katika blog ya smart ago ili kuweza kupata elimu mbalimbali ndani ya kipengele hiki cha Afya na lengo ni kutaka tunufaike katika maisha haya tunayoishi na si kuhangaika karibu sana na mualike na mungine asanteni sana.
Hapa chini napenda kuwaonesha kwa upana kidogo faida ya ulaji wa tunda la nanasi kiafya, twende sawa hapa chini-;
FAIDA ZA KIAFYA ZA TUNDA LA NANASI
NANASI ni tunda lenye ladha nzuri. Mbali na kutumika kama tunda ama juisi yake kutumika kama kinywaji, tunda la nanasi lina faida mbalimbali kwa afya ya mwanadamu.
Baadhi ya faida hizo ni pamoja na :
Baadhi ya faida hizo ni pamoja na :
1.Kuongeza vitamini mbalimbali ndani ya mwili :
Nanasi ina vitamini A,B na C na pia ina madini ya chuma, calcium, copper na phosphorous ambayo yote ni muhimu sana katika afya ya mwanadamu.
2. Tunda hili husaidia kutengeneza damu
3. Nanasi husaidia kuimarisha mifupa , meno, neva na misuli (muscles).
4. Tunda la nanasi hutibu matatizo ya tumbo.
5. Hutibu matatizo ya Bandama
6. Hutibu matatizo ya Ini
7. Husaidia kusafisha Utumbo mwembamba
8. Husaidia kutibu Homa
9. Husaidia kutibu Vidonda mdomoni
10. Husaidia kutibu Magonjwa ya koo
11. Husaidia kutibu tatizo la Kupoteza kumbukumbu
12. Husaidia kutibu maradhi ya akili Kukosa mori (low spirit)
13. Husaidia kutibu Kikohozi
14. Husaidia kutibu tatizo la Kutetemeka
15. Husaidia kutibu tatizo la Woga ( Anxiety )
16. Husaidia kutibu matatizo ya wanawake (upungufu wa hormones au makosa fulani katika sehemu za siri )
17. Huondoa shida ya kufunga choo
18. Husaidia katika kutibu tatizo la Upungufu wa damu
19. Pia tunda hili huwasaidia akina mama wanaonyonyesha (wenye maziwa machache)
Kama binadamu unaehitaji afya bora lazima uanze kula tunda hili iwe kama juisi au tunda fanya hivyo hata mara kadhaa utakuwa umeweka akiba ya afya njema ndani ya mwili wako.
Asanteni sana karibuni tena katika blog yangu ya smart ago mkaribishe na mwenzako apate elimu kama wewe ulivyonufaika hapa. kama unamatangazo binafsi nitafute ili nikutangazie biashara yako au unahitaji kutengenezewa blog yako binafsi ya aina yeyote usijari namba yangu ni 0767774789 SMART AGO. Admin.
No comments:
Post a Comment