YANGA SPORT CLUB YAIJIBU VIKALI MTANI WAKE WA JADI KWA KUMPIGA STAND UNITED DHIDI YA 4-0 HII LEO - smart ago
728*90

Breaking

Sunday, 22 October 2017

YANGA SPORT CLUB YAIJIBU VIKALI MTANI WAKE WA JADI KWA KUMPIGA STAND UNITED DHIDI YA 4-0 HII LEO

 Image result for PICHA YA AJIBU NA CHILWA WAKIIFUNGA STAND UNITED LEO Ibrahim Ajib ameendelea kuwasha moto akiwa na Yanga baada ya leo Jumapili October 22, 2017 kuifungia mabao mawili kwenye ushindi wa  4-0 dhidi ya Stand United na kuifanya Yanga ifikishe pointi 15 sawa na Simba na Mtibwa Sugar.
Simba na Mtibwa zilifikisha pointi 15 baafa ya kushinda michezo yao ya jana lakini ushindi wa  Yanga leo unafanya timu tatu kufungana pointi lakini tofauti ya magoli ndio unazitofautisha katika msimamo wa ligi.
Ajib ndio anaongoza kwa ufungaji kwenye kikosi cha Yanga akiwa na magoli matano (5) aliyoyafunga kwenye mechi saba alizocheza.

No comments:

Post a Comment