Zimbabwe: Mnangagwa atangaza msamaha kwa walioficha fedha ughaibuni - smart ago
728*90

Breaking

Tuesday, 28 November 2017

Zimbabwe: Mnangagwa atangaza msamaha kwa walioficha fedha ughaibuni

Emmerson Mnangagwa

Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ametangaza msamaha wa miezi mitatu kwa watu binafsi na kampuni mbalimbali ambazo zimeficha fedha za umma kinyume cha sheria nje ya nchi hiyo kuzisalimisha.
Kupitia taarifa, amesema kwamba serikali itawakamata na kuwafungulia mashtaka wale watakaokataa kufanya hivyo kabla ya msamaha huo kumalizika Februari.
"Vitendo kama hivi ni uhalifu wa hali ya juu wa kiuchumi dhidi ya watu wa Zimbabwe," Bw Mnangagwa amesema.

No comments:

Post a Comment