Brazil yaisamehe Tanzania deni la shilingi bilioni 445 - smart ago
728*90

Breaking

Sunday, 17 September 2017

Brazil yaisamehe Tanzania deni la shilingi bilioni 445

Serikali Brazil imesamehe deni lake kwa Tanzania ambalo ni jumla ya dola za kimarekani Mil. 203 ambazo ni sawa na Tsh Bil. 445, hiyo ni kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania. Dk Hassan Abbas amesema deni hilo lilitokana na mkopo uliotolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma mwaka 1979 pamoja riba.

No comments:

Post a Comment