Burundi yachukua tahadhari kuepuka kuingia kwa wahalifu kutoka DRC - smart ago
728*90

Breaking

Friday, 29 September 2017

Burundi yachukua tahadhari kuepuka kuingia kwa wahalifu kutoka DRC


lk
    Jeshi la ulinzi la Burundi limechukua tahadhari kuepuka kuingia kwa wahalifu katika ardhi ya Burundi huku mapambano yakitokea katika mkoa wa Kivu Kusini nchini DRC.
Msemaji wa jeshi la Burundi Kanali Gaspard Baratuza amesema, vikosi vya ulinzi na usalama vya Burundi vimechukua tahadhari ya juu karibu na mpaka wa Burundi na DRC. Vinahakikisha kwamba hakuna mhalifu anayeweza kuingia Burundi kutoka mashariki mwa DRC, ambako mapambano makali kati ya wanamgambo wa Mai-Mai na jeshi la DRC...

Karibu tena katika blog yangu ya smart ago.

No comments:

Post a Comment