Watu 22 wafariki katika mkanyagano kwenye reli Mumbai nchini India - smart ago
728*90

Breaking

Friday, 29 September 2017

Watu 22 wafariki katika mkanyagano kwenye reli Mumbai nchini India



Barabara ya Elphinstone inaunganisha njia mbili za reli MumbaiHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionBarabara ya Elphinstone inaunganisha njia mbili za reli Mumbai

    Watu kumi na wawili wameuawa na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa, kufuatia kisa cha mkanyagano baada ya daraja moja kuporomoka karibu na kituo cha treni, mjini Mumbai India.
Waliyoshuhudia wanasema, daraja hilo huenda liliporomoka kutokana mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati huo, hali ambayo iliwafanya watu kukimbilia mahala hapo kujikinga.
Mwandishi wa BBC mjini Mumbai, anasema mamlaka imekuwa ikilaumiwa kwa kutelekeza miundo mbinu katika mji huo licha ya kuwa mji huo unapokea watu wengi kila siku.

No comments:

Post a Comment