
Mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ ameuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Tumaini Hasssan ndoa hiyo imefungwa Agosti 28, mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar Es Salaam. Ambapo ndoa hiyo imefungwa na kiongozi wa kanisa hilo licha ya kwamba joti yupo katika namna kunyoa kiduku vilevile kama anaigiza na kuzua gumzo kubwa kanisani humo.
No comments:
Post a Comment